Fenerbahce kumlipa Mourinho Bilioni 29 kwa mwaka
Eric Buyanza
June 6, 2024
Share :
Fenerbahce wamethibitisha kuwa meneja mpya wa klabu yao, Jose Mourinho, atalipwa mshahara wa Euro milioni 10.5 (Bilioni 29 za kitanzania) kwa mwaka.
Klabu hiyo ilifichua hayo jana ikiwa ni siku ya tatu tangu kutambulishwa kwake rasmi.