pmbet

FIFA waitaja Simba kwenye orodha ya ubora CAF

Sisti Herman

December 24, 2023
Share :

Hesabu na mchanganuo wa shirikisho la soka duniani FIFA juu ya namna timu zinaweza kufuzu Kombe la Dunia la vilabu mwaka 2025 , huku kwa upande wa bara la Afrika Simba SC wapo nafasi ya saba (7) Wakiwa na alama 45 .

Kwenye rank hii timu tatu za juu ndio zenye nafasi ya kushiriki mashindano hayo mwaka 2025 moja kwa moja.

Ili Simba iweze kufuzu inawajitaji kuongeza alama 36 ili wawavuke Mamelodi walio nafasi ya tatu wenye point 81 .

Hilo likishindikana basi inabidi wawe mabingwa wa Klabu bingwa CAFCL ,nafasi za Afrika ni timu nne tu .

Rank ya FIFA
Al Ahly ———————Pts 110
Wydad ———————Pts 102
Mamelodi —————-Pts 81
ES Tunis ——————Pts 75
Belouizdad ————-Pts 59
Petro de Luanda —-Pts 49
SIMBA ———————Pts 45
Raja ————————-Pts 45
Al Hilal ———————Pts 33
Horoya ———————-Pts 29

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet