pmbet

FIFA wawashindanisha tena Ronaldo na Messi

Sisti Herman

January 4, 2024
Share :

Taasisi ya FIFPRO ambayo ni chombo rasmi chini ya shirikisho la soka duniani (FIFA) kinachohusika na kutetea haki za wachezaji wanaocheza ligi za ushindani ulimwenguni kimetoa orodha ya wachezaji 23 ambao wanawania tuzo za kuwa kwenye kwenye kikosi bora cha mwaka 2023 huku ikiwajumuisha Cristiano Ronaldo na Lionel Messi kwa mara nyingine.

 

Kwenye orodha hiyo pia wapo Kylian Mbappe, Erling Halland, Jude Bellingham, Kelvin De Bryyne, Luka Modric na mastaa wengine walikiwasha zaidi mwaka 2023.

 

Ndani ya mwaka huo pekee Ronaldo aliibuka mfungaji bora kuliko washambuliaji wote Ulimwenguni wanaocheza soka ligi kwenye soka ushindani.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet