pmbet

FIFA yaishutumu UEFA kwa propaganda za upotoshaji

Sisti Herman

September 29, 2026
Share :

 

Shirikisho la soka duniani (FIFA) imeishutumu shirikisho la soka barani Ulaya (UEFA) kwa kuendesha "kampeni ya upotoshaji" na kujaribu kuingilia kati mchakato wake wa uchaguzi wa Urais.⁣
⁣
Awali, UEFA ilimtuhumu rais wa FIFA, Gianni Infantino, kwa "usimamizi mbaya wenye vipengele vya uhalifu" kuhusiana na mpango wa Fifa Forward Enterprise ambao sasa umesitishwa.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet