pmbet

Foden kuwa mchezaji wa Uingereza anayelipwa pesa nyingi zaidi

Eric Buyanza

June 10, 2024
Share :

Manchester City wanatazamiwa kumfanya kiungo wa kati wa Uingereza Phil Foden, kuwa mchezaji wa Uingereza anayelipwa fedha nyingi zaidi katika historia kwa kupandisha mshahara wake hadi kufikia Pauni 375,000 kwa wiki, limeripoti gazeti la The Sun. 

Foden mwenye umri wa miaka 24 anachukua takriban Pauni 200,000 na bonasi lakini nyongeza yake ya malipo itamfanya alingane na Erling Haaland na Kevin De Bruyne.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet