pmbet

Foleni yazidi kuwa kubwa bandari ya Dar

Sisti Herman

December 22, 2023
Share :

Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imesema kumekuwa na ongezeko la meli zinazosubiri katika eneo la maegesho kabla ya kuingia bandarini.

Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Masoko na Uhusiano ya TPA, imeeleza kuwa hali hiyo imesababishwa na sababu mbalimbali zikiwemo msimu wa mwisho wa mwaka ambapo kunakuwa na ongezeko kubwa la meli na shehena ya mizigo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet