Fred Michael na Joseph Gede nani mkali?
Sisti Herman
May 6, 2024
Share :
Mjadala mkubwa kwenye vijiwe vya soka hivi sasa ni nani bora kati ya washambualiaji wa kati wa timu mbili hasimu Fred Michael wa Simba na Joseph Guede wa Yanga.
Hizi hapa takwimu za wachezaji hao;
Fred Michael
- Mechi 13
- Dakika 678
- Magoli 5
Joseph Guede
- Mechi 13
- Dakika 871
- Magoli 5
Je unadhani nani bora?