pmbet

Furaha ya Brazil, Neymar yuko fiti atacheza dhidi ya Scotland

Eric Buyanza

June 20, 2026
Share :

Kocha wa timu ya taifa ya Brazil, Carlo Ancelotti, amethibitisha rasmi kuwa Neymar Jr atakuwa tayari kucheza katika mchezo wao wa mwisho wa hatua ya makundi dhidi ya Scotland kwenye fainali za Kombe la Dunia la FIFA 2026.

 

Akijibu swali mbele ya waandishi wa habari, lililotaka kujua iwapo Neymar yuko fiti na kama ataweza kupangwa dhidi ya Scotland, Ancelotti alisema:
 

"Ndiyo, Neymar amerejea. Atakuwa tayari kwa mchezo dhidi ya Scotland."

"Atafanya mazoezi binafsi kesho, na kundi Jumapili, na atakuwepo kwa mechi dhidi ya Scotland." alisema
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet