Kikosi cha Timu ya Taifa ya taifa ya soka la sakafuni (Futsal) kimeondoka leo asubuhi kuelekea nchini Namibia kwaajili ya mchezo wa kufuzu AFCON dhidi ya wenyeji Namibia utakaochezwa Februari 3, 2024.