Gabriel asaini mkataba mpya Arsenal utakaoisha mwaka 2029
Eric Buyanza
June 6, 2025
Share :
Beki wa Arsenal Gabriel Magalhães ametia saini mkataba mpya wa muda mrefu, utakaomweka katika klabu hiyo hadi 2029.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 alijiunga na klabu hiyo mwaka 2020 na amecheza mechi 210, akifunga mabao 20.