pmbet

Gakpo kujiunga na Man City

Sisti Herman

August 29, 2026
Share :

 

Mpango wa Cody Gakpo kujiunga na Manchester City unaendelea kwa kasi ambapo kwa mujibu wa Fabrizio Romano makubaliano ya maslahi binafsi yamefikiwa, na klabu zote mbili zinawasiliana kuhusu ada ya uhamisho. 

 

Liverpool wako tayari kumuuza Gakpo mara tu watakapopata winga mpya.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet