Gallagher huenda akaelekea Tottenham
Eric Buyanza
January 11, 2024
Share :
TETESI ZA USAJILI: Kiungo wa kati wa Chelsea Conor Gallagher, anasalia kuwa juu ya orodha ya wachezaji wanaotakiwa na Tottenham wakilenga kumnunua kiungo huyo wa kati mwezi huu wa Januari, huku The Blues wakiwa tayari kufanya dili kwa mchezaji huyo wa kimataifa wa Uingereza kwa bei itakayofaa.