Gamondi awa kocha bora wa Ligi kuu, mwezi Februari
Eric Buyanza
March 11, 2024
Share :
Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi ametwaa tuzo ya Kocha Bora wa mwezi Februari wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
Gamondi ameiongoza Yanga katika michezo mitano mwezi huu kwa kushinda michezo minne na kutoka sare mchezo mmoja.
Gamondi amewashinda Abdelhak Benchikha wa Simba na Ahmad Ally wa Tanzania Prisons.