Geita Imesimama Wananchi wafanya paredi.
Sisti Herman
June 16, 2024
Share :
Mabingwa wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara na Kombe la Shirikisho la TFF Wananchi @yangasc wamefanya paredi la Ubingwa Mjini Geita,msafara huo umeongozwa na msemaji wa yanga Ally Kamwe huku wakiendelea na zoezi la kuhamasisha usajili wa wanachama wapya wa klabu.