pmbet

Gibril Silah afutiwa kadi nyekundu aliyipata dhidi ya Kagera Sugar.

Joyce Shedrack

September 4, 2026
Share :

Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi imemfutia Adhabu ya kadi nyekundu aliyo onyeshwa mchezaji Gibril Sillah wa klabu ya Azam katika mchezo wao dhidi ya Kagera Sugar ,baada ya kujiridhisha kupitia picha jongeo na taarifa ya wataalamu kuwa mchezaji huyo hakustahili adhabu hiyo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet