pmbet

Goli la kujifunga la Mzize laipa DR Congo ushindi mbele ya Taifa Stars.

Joyce Shedrack

October 10, 2024
Share :

Timu ya Taifa ya DR Congo imepata ushindi wa goli 1 bila dhidi ya Timu ya Taifa ya Tanzania katika mchezo wa 3 wa kuwania nafasi ya kushiriki michuano ya AFCON 2025 Nchini Morocco.

Goli pekee la mchezo huo Dr Congo walilipata baada ya Taifa Stars kujifunga kupitia kwa Clement Mzize dakika ya 54 ya mchezo.

MSIMAMO WA KUNDI H.
01. DR Congo — 09 pts
02. Tanzania — 04 pts
03. Ethiopia — 01 pt*
04. Guinea — 00 pt*

@taifastars_ kabla hamjaondoka wakaribisheni kabisa kwa Mkapa.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet