pmbet

Golikipa wa Ubaya Ubwela yupo njiani kutua Simba.

Joyce Shedrack

July 27, 2024
Share :

Klabu ya Simba ipo kwenye mazungumzo na klabu ya Horoya Ac ya nchini Guinea kwa ajili ya kuipata huduma ya golikipa wa klabu hiyo na Timu ya Taifa ya Guinea Moussa Camara mwenye umri wa miaka 25 ili kuchukua nafasi ya golikipa Ayoub Lakred ambaye taarifa zinasema ameumia mazoezini.

Simba inaangalia uwezekano wa kunasa saini ya golikipa huyo mapema kabla ya Simba Day ili ahudhurie siku hiyo maalum kwa mnyama na kutambulishwa mbele ya mashabiki kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao.

 

Camara msimu uliopita amecheza michezo 23 amepata cleen sheets 11 huku akiruhusu nyavu zake kutikiswa mara 20.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet