pmbet

Granit Xhaka kurejea ligi kuu ya Uingereza.

Joyce Shedrack

July 28, 2025
Share :

Klabu ya Sunderland ambayo msimu ujao itashiriki Ligi Kuu ya Uingereza imefikia makubaliano binafsi ya kumsajili kiungo Granit Xhaka raia wa Uswisi kutokea Bayer Leverkusen.

What Granit Xhaka was doing during Arsenal vs Aston Villa speaks volumes -  football.london

Nyota huyo mwenye umri wa miaka 32 aliwahi kukipiga katika ligi hiyo akiwa na klabu ya Arsenal kabla ya kujiunga na Bayer 04 Leverkusen anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka mitatu wa kuitumikia Sunderland.

 

Xhaka msimu uliopita amecheza mechi 33 na kufunga magoli 2 huku akitoa pasi 7 za magoli.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet