Greenwood amuombea msamaha, Kesi kufutwa
Sisti Herman
February 28, 2024
Share :
Mason Greenwood ameliomba shirikisho Real Federación Española de Fútbol (RFEF) kufuta uchunguzi unaoendelea dhidi ya Jude Bellingham juu ya kumuita (mbakaji),
Greenwood ametoa sababu kuu ya kumuombea msamaha Jude Bellingham ni kuwa tukio hilo lilitokea wote wakiwa wako na hisia za kiwango cha juu na kati kati ya Mchezo na ni kawaida
Kinachosubiriwa ni majibu yamsamaha huo kama RFEF watakubali au wataendelea na uchunguzi wao kuhusu tukio hilo ambalo ni kinyume na sheria za soka la Spain mchezaji kumwita jina lenye mlengo wa ubaguzi au unyayasaji wa kijinsia mchezaji mwenzake.