pmbet

Griezmann ajipiga kitanzani Atletico hadi 2027

Sisti Herman

June 2, 2025
Share :

Klabu ya Atletico Madrid imemuongezea mkataba mshambuliaji wao kiraka Antoine Griezmann kuendelea kuitumikia klabu hiyo hadi mwaka 2027.

 



Griezmann aliyestaafu kuichezea timu ya Taifa ya Ufaransa mwaka jana, ataendelea kuitumikia Atletico kwa miaka miwili zaidi.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet