pmbet

Guardiola anaamini Foden atarudi kwenye kiwango chake

Eric Buyanza

March 7, 2026
Share :

Kocha Pep Guardiola amemtetea Phil Foden, akisisitiza kuwa kiungo huyo wa Manchester City atarejea kwenye kiwango chake.

"Hatua kwa hatua atarudi," Guardiola alisema, akiongeza kuwa kiwango cha Foden bado kipo na anaonyesha dalili za kurudi” alisema Guardiola.

Foden amekuwa mchezaji muhimu kwa Manchester City hapo awali, akishinda mataji kadhaa, ikiwemo mataji sita ya Ligi Kuu na taji moja la Ligi ya Mabingwa.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet