Guardiola arejea Manchester City
Eric Buyanza
October 15, 2026
Share :
Kocha wa zamani wa Manchester City, Pep Guardiola alikuwa sehemu ya watazamaji wa pambano la timu hiyo dhidi ya PSG katika Uwanja wa Etihad nchini Uingereza.
Guardiola alishuhudia mchezo huo ukimalizika kwa kikosi cha Manchester City kukubali kubugizwa mabao 4-2 wakiwa nyumbani kwao.






