pmbet

Guardiola kumruhusu Ederson kujiunga na Ronaldo Al Nassr

Eric Buyanza

July 4, 2024
Share :

Kipa wa Manchester City, Ederson, yuko mbioni kuungana na Cristiano Ronaldo kwenye klabu ya Al Nassr.

Taarifa zinasema Ederson tayari amekubaliana na Al Nassr na sasa mazungumzo yanaendelea kati ya Al Nassr na Manchester City.

Inaaminika kuwa dili la uhamisho huo litakuwa na thamani ya Euro milioni 60 kwa mkataba wa miaka miwili.

Kuwasili kwa Ederson pia kutaisaidia Al-Nassr kuziba nafasi ya David Ospina ambaye ameihama klabu hiyo baada ya kumalizika kwa mkataba wake.

Kama Ederson ataondoka, Guardiola atapaswa kumpandisha Ortega kuwa chaguo lake namba moja.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet