pmbet

Guimaraes aikataa Man United, kujiunga na Arsenal

Sisti Herman

July 9, 2026
Share :

 

Bruno Guimaraes ameiambia Newcastle United kuhusu nia yake ya kuondoka St James’ Park na kujiunga na Arsenal.

Klabu hiyo inayowania ubingwa wa Ligi Kuu inaongeza kasi ya kumtaka mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 na imeonyesha utayari wa kulipa hadi pauni milioni 60 kwa ajili ya kiungo huyo.

Gazeti la The Athletic liliripoti mwezi Juni kuwa ofa ya mdomo kutoka kwa Arsenal — yenye thamani ya chini ya pauni milioni 60 — ilikataliwa.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet