pmbet

GULABI GANG: Kikundi maarufu cha kushikisha adabu Wanaume!

Eric Buyanza

March 27, 2024
Share :

'Gulabi Gang' ni kikundi maarufu cha kina mama watetea haki za wanawake wanaobakwa na kunyanyaswa nchini India kilichoanzishwa mwaka 2006.
 

Lengo hasa la kundi hili linalotembea na bakora muda wote ni kuwalinda wanawake dhidi ya unyanyasaji wa kijinsia na ukandamizaji kutoka kwa wanaume.
 

Mwanaume atakayebainika kumpiga au kumfanyia unyanyasaji mkewe au mwanamke mwingine yoyote basi adhabu atayopewa na kina mama hawa ni kutandikwa viboko.
 

Usiombe kukutana nao hawa kwenye anga zao utajuta!

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet