pmbet

Haaland ajiwekea rekodi baada ya ushindi dhidi ya Arsenal

Eric Buyanza

April 20, 2026
Share :

Mchezaji wa Manchester City, Erling Haaland amejitengenezea rekodi baada ya timu yake kuishinda Arsenal siku ya Jumapili.
 

Kumbuka kwamba Man City ilishinda 2-1 dhidi ya The Gunners kwenye Uwanja wa Etihad, shukrani kwa mabao ya Cherki na Haaland.
 

Kulingana na OptaJoe, Haaland sasa anakuwa mchezaji wa pili kufunga katika mechi nne mfululizo za Ligi Kuu ya Uingereza dhidi ya Arsenal ya Mikel Arteta baada ya mshambuliaji wa Liverpool Diogo Jota kufanya hivyo kati ya Septemba 2020 na Machi 2022.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet