pmbet

Haaland humwambii kitu kuhusu CR7

Sisti Herman

May 5, 2026
Share :

 

Erling Haaland kwenye Snapchat baada ya Cristiano Ronaldo kufunga bao lake la 970 katika maisha yake ya soka:

 

"Fikiria kufanya hivyo ukiwa na miaka 41 🤯🤯"

 

Heshima kwa Legend. 😍

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet