pmbet

Hadithi fupi ya dogo aliyemtabiria makubwa Guardiola

Eric Buyanza

May 29, 2026
Share :

Sikia hadithi hii ya kufurahisha. ❤️
 

▪️ Nyuma kidogo mwaka 2016, shabiki wa Manchester City mwenye umri wa miaka 7 aitwaye Braydon alijikuta amepanda teksi moja na Pep Guardiola ambaye alikuwa akielekea kwenye kibarua chake cha Man U kwa mara ya kwanza.


 

▪️ Braydon alimtazama Pep na kumwambia: “Utashinda kila kitu ukiwa na City.”

▪️ Pep alijibu kwa urahisi: "Tutajaribu."

▪️ Miaka 10 baadaye, Braydon sasa ana umri wa miaka 17 na anafanya kazi kama mwandishi wa habari.

▪️ Wikiendi iliyoisha wakati wa kuagwa kwa Guardiola, Braydon alifanikiwa kupiga picha moja ya mwisho na kocha huyo ambaye aliishia kushinda kila kitu Manchester City kama alivyoahidiwa na dogo mwaka 2016.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet