pmbet

Hakimi akata rufaa kupinga tuhuma za kesi ya ubakaji.

Joyce Shedrack

June 27, 2026
Share :

Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Morocco na klabu ya PSG Achraf Hakimi amekata rufaa katika Mahakama ya Juu ya Ufaransa kupinga uamuzi wa mahakama ya rufani uliothibitisha kuwa atafikishwa mahakamani kwa tuhuma za ubakaji.
Achraf Hakimi will be prosecuted for rape charges, French court ruled :  r/soccer
Hii ni baada ya Mahakama ya Rufani ya Versailles kuamua kuwa beki huyo atashtakiwa katika mahakama ya jinai kutokana na madai ya tukio la ubakaji linalodaiwa kutokea mwaka 2023.

Tuhuma hizo zilitolewa na mwanamke mwenye umri wa miaka 24 ambaye alidai kuwa alibakwa na mchezaji huyo mwaka 2023.

 

Hakimi amekuwa akikanusha tuhuma hizo huku wakili wake, Fanny Colin, akisema wameamua kutumia hatua nyingine ya kisheria kupinga uamuzi huo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet