pmbet

Hakuna Dawa ya kuongeza Shepu wala Makalio

Eric Buyanza

May 18, 2024
Share :

Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imesema hakuna dawa hiyo yenye uwezo huo wa kuongeza kiungo chochote cha mwili.
 

Akizungumza katika kikao kazi kati ya TMDA na wahariri wa habari kilichofanyika Mei 16, 2024 mjini Iringa, Mkurugenzi Mkuu wa TMDA, Dk Adam Fimbo, ameitahadharisha jamii juu ya upotoshaji huo unaofanyika kupitia matangazo hususani kwenye mitandao ya kijamii.
 

"TMDA hatuna dawa yoyote tuliyoletewa na tukaifanyika uchunguzi ya kukuza makalio, matiti wala kukuza viungo kwa binadamu...Ukitaka labda kufanya hayo ili kuona mabadiliko labda ufanye upasuaji," amesema Dk Fimbo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet