pmbet

Hakuna mwamuzi wa Tanzania watakaochezesha AFCON 2025

Sisti Herman

November 26, 2025
Share :

 

CAF imetoa orodha ya mwisho ya wasimamizi na waamuzi wa mechi kwa ajili ya michuano ya AFCON 2025 nchini Morocco mwezi ujao.

Waamuzi (nchi) - Idadi
Algeria - 2
Ghana - 1
Afrika Kusini - 1
Kenya - 1
Moroko - 2
Rwanda - 1
Mauritania - 2
Misri - 2

Mataifa yenye ligi shindani kama Tanzania na Nigeria hayana waamuzi waliochaguliwa kwenye michuano hiyo.

 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet