pmbet

Hakuna timu nyepesi, kikubwa kujipanga - Moussa Camara

Eric Buyanza

November 29, 2024
Share :

Mlinda mlango wa Klabu ya Simba, Moussa Camara, amesema michezo ya kwenye hatua ya makundi sio mirahisi kwa kuwa kila timu iliyofikia hatua hiyo ina ubora na imejiandaa kikamilifu.

"Hakuna timu nyepesi kwenye hatua hii, kikubwa kwetu ni kujipanga kuhakikisha tunapata ushindi kwenye kila mchezo ili kuingia hatua inayofuata," anasema.

👉NIPASHE

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet