pmbet

Hakutakuja kutokea mchezaji mwingine kama Messi - Herrera

Eric Buyanza

April 24, 2026
Share :

Kiungo wa Boca Juniors, Ander Herrera, amemlinganisha winga wa Barcelona Lamine Yamal na nahodha wa Inter Miami Lionel Messi.

 

Akiongea na TNT Sports nyota huyo wa zamani wa Paris Saint-Germain, hakutakuja kutokea tena mchezaji mwingine kama Messi.

 

"Kusema ukweli, kwangu mimi mchezaji kama Lionel Messi hatatokea tena"

"Lamine Yamal labda kidogo ndiye mtu anayemkaribia ambaye nimemuona mpaka sasa," alisema Herrera.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet