Half time show za Bowl zilizotazamwa zaidi hadi sasa
Sisti Herman
February 10, 2026
Share :

Kwa mujibu wa majukwaa mbalimbali iliyorekodi watazamaji mitandaoni hii ni top 5 ya Half Time Show za Super Bowl zenye watazamaji wengi hadi sasa;
1. Bad Bunny, 2026, watazamaji 134.5 Million
2. Kendrick Lamar, 2025, watazamaji 133.5 Million
3. Michael Jackson, 1993, watazamaji 133.4 Million
4. Rihana, 2023, watazamaji 121 Million
5. Katy Perry, 2015, watazamaji 118 Million





