Hamisa Mobetto agoma kuwazungumzia Diamond na Majizzo
Joyce Shedrack
March 12, 2024
Share :
Mwanamitindo na mwanamuziki maarufu Tanzania, Hamissa Mobetto amekataa kuwazungumzia ma ex wake huku akisema hawezi kurudiana na mtu yoyote aliyeachana naye akiwemo Diamond platnumz pamoja na Majizzo.
Fuatilia zaidi kwenye video hapo chini.