Hamisa na Kelvin bado wapo sanaaa
Eric Buyanza
December 11, 2023
Share :
Baada ya kuzuka tetesi katika mitandao ya kijamii kuhusiana na kuvunjika kwa penzi la Kevin Sowax na muigizaji Hamisa Mobetto, hatimaye wawili hao wamewaziba midomo wazushi, baada ya Kevin ku-share video akimtakia Hamisa kheri katika kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwake.
Kevin ali-share video hiyo kupitia Insta Story yake wakati akimu-wish Mobetto kwa njia ya simu.