Hans Flick asema Pu Cubarsi ni Lamine Yamal wa Ulinzi.
Joyce Shedrack
March 10, 2026
Share :
Kocha Mkuu wa Barcelona Hans Flick amemmwagia maua yake beki wa kati wa kikosi chake mwenye umri wa miaka 19 Pau Cubarsi akisema yupo kwenye kiwango sawa na Lamine Yamal.
“Pau Cubarsí yuko katika Kiwango Sawa na Lamine Yamal lakini katika ulinzi,”
“Jinsi Cubarsí anavyocheza ulinzi alichukua mpira wa kurushwa uwanjani kama vile kona! Ana miaka 19 tu, anaweza kucheza katika kiwango cha juu kabisa anachoweza kufikiria. Pau ni wa ajabu sana,” amesema Flick.





