pmbet

Hapatoshi robo fainali Uefa leo, hapa Arsena na Bayern pale Madrdi na City

Sisti Herman

April 9, 2024
Share :

Ligi ya mabingwa Ulaya leo itaendelea kwenye hatua ya robo fainali ambapo kwa siku ya leo kutakuwa na michezo miwili inayohusisha vigogo wanne;

Arsenal vs Bayern Munich
Real Madrid vs Man City

Je unadhani nani atashinda kati ya timu hizo?

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet