Harmonize amtolea uvivu Gigy money
Joyce Shedrack
March 20, 2024
Share :
Kutoka Konde Gang, Msanii Harmonize amemuangushia kichambo kizito mwanadada Gigy money kisa uvutaji wa sigara, Harmonize kupitia ukurasa wake wa instagram amefunguka kuwachukia wanawake wanaovuta sigara akimtaja Gigy Money.
Fuatilia zaidi kwenye video hapo chini.