Harmonize amuandikia Diamond waraka kwenye siku yake ya kuzaliwa
Joyce Shedrack
March 15, 2024
Share :
Msanii Rajabu Ibrahim maarufu kama Harmonize ametimiza miaka 30 leo huku akitoa ujumbe mzito kwenye ukurasa wake wa instagram unaomhusisha bosi wake wa zamani Diamond Platinumz.
Fuatilia zaidi kwenye video hapo chini.