pmbet

Harmonize na Kajala wanatarajia mtoto wa kiume.

Joyce Shedrack

March 24, 2026
Share :

Huwenda 'couple' ya staa wa bongofleva na staa wa bongomovie Harmonize na Kajala inatarajia kupata mtoto ,ambapo kupitia ukurasa wa Instagram wa Mwijaku ilionekana comment ya Harmonize ikisema "Konde Jr on the way", konde mdogo yupo njiani".

Mwijaku kupitia ukurasa wake wa Instagram aliweka video ikimuonyesha Harmonize na Kajala wakiwa wamevalia Gwanda na kuandika 

 

"Mwanangu wa faida amejipata Kajala mzalie huyo atulie" ambapo Harmonize alijibu na kuandika "Konde Jr on the way " akimaanisha Konde Jr yupo njiani.

Kauli hii inaleta picha mpya kuwa huenda Kajala akawa ni mjamzito na wanategemea mtoto siku za karibuni.

Baada ya mwijaku kujibiwa amelizungumzia hilo na kusema kuwa "Kajala ana ujauzito wa miezi miwili" na wanategemea kupata mtoto wa kiume.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet