Harmonize na Rayvanny kutoa 'Collabo' yao leo
Sisti Herman
June 13, 2024
Share :
Wasanii maarufu wa Muziki nchini, Harmonize na Rayvanny leo usiku wanatarajia kuachia nyimbo yao ya kwanza waliyoshirikiana baada ya ku-share kupitia mitandao yao ya kijamii na kuandika ujumbe "MIDNIGHT π πΉπΏ πΏπΏπ¬".
Wasanii hao wote kwa pamoja walijitoa kwenye 'lebel' baarufu ya mziki nchini 'WCB' inayoongozwa na msanii Diamond Plutnumz ambaye ameshiriki kwa asilimia kubwa wasanii hao kuwa wakubwa kupitia lebel hiyo.
Je unadhani Collabo ya 'Tembo' na 'Chui' itakuwaje...