pmbet

Harry Kane kuongeza mkataba wa kusalia Bayern Munich.

Joyce Shedrack

July 29, 2026
Share :

Nahodha wa Timu ya Taifa ya Uingereza Harry Kane anaripotiwa kuwa tayari kuendelea kuitumikia FC Bayern Munich kwa kusaini mkataba mpya wa muda mrefu.

Harry Kane Leads Bayern to 2-1 Win over Real Madrid in 1st Leg of Champions  League Quarterfinals

Kwa mujibu wa taarifa mbalimbali Bayern Munich inapanga kumkabidhi Kane ofa ya kuongeza mkataba mara tu atakaporejea kutoka mapumziko yake baada ya Kombe la Dunia 2026.

 

Licha ya kuwa na umri wa miaka 33, Kane bado anaonekana kuwa mhimili muhimu wa mradi wa kimichezo wa klabu hiyo na uongozi wa Bayern unaamini mshambuliaji huyo ana uwezo wa kuendelea kufanya vizuri kwa misimu ijayo kutokana na kiwango chake bora na uzoefu mkubwa alionao.

 

Nyota huyo alikuwa miongoni mwa washambuliaji waliokuwa wanatajwa kuhitajika na klabu ya Barcelona kama mbadala wa mshambuliaji wao aliyeondoka klabuni hapo Robert Lewandowski.

 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet