Harusi zilizotumia gharama kubwa zaidi duniani
Sisti Herman
July 10, 2025
Share :
Harusi ya Anant Ambani 2024 inasemekana kugharimu karibu dola milioni 600, na kuifanya kuwa ghali zaidi kwenye rekodi.
Hata hivyo, sherehe inayokuja ya Jeff Bezos na Lauren Sánchez, inasemekana kugharimu dola milioni 56, wakati sherehe ya kitambo ya Princess Diana mnamo 1981 iligharimu karibu $ 140 milioni.
Hizi ni Harusi zilizotumia gharama kubwa zaidi;
1. Anant Ambani 2024, $ 600 million (zaidi ya Tsh Trilioni 1.5)
2. Prince Charles & Lady Diana 1981, $ 140 millions (zaidi ya Tsh bilioni 360)
3. Isha Ambani $100 millions 2018 (zaidi ya Tsh bilioni 260)
4. Sheikh Mohammed bin Rashid al Maktoum $ 100 Millions 1979 (zaidi ya Tsh bilioni 260)
5. Vanisha Mittal $ 60 Millions, 2004 (zaidi ya Tsh bilioni 156)
6. Jeff Bezos & Lauren Sánchez $ 56 Millions, 2025 (zaidi ya Tsh bilioni 145)
7. Prince Harry & Meghan Markel $ 45 millions, 2018 (zaidi ya Tsh bilioni 117)
8. Prince William & Kate Middleton $ 34 Million, 2011 (zaidi ya Tsh bilioni 88)
9. Kim Kardashian & Kris Humphries $ 10 Millions (zaidi ya Tsh Tsh bilioni 26)