pmbet

Hasheem Thabeet apitishwa kugombea Urais TBF

Sisti Herman

February 27, 2026
Share :

 

Nyota wa zamani wa Ligi ya Mpira wa Kikapu Marekani (NBA), Hasheem Thabeet amepitishwa kugombea Urais wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF) baada ya Usaili uliofanyika Februari 27 ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Dodoma Jijini Dodoma.

Taarifa hiyo imetolewa na serikali kupitia Baraza la Michezo la Taifa (BMT) iliyo chini ya Wizara yenye dhamana ya Michezo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet