Hashim Lundega, afariki dunia
Eric Buyanza
April 19, 2025
Share :
Mratibu wa zamani wa Miss Tanzania Hashim Lundega, amefariki dunia leo Jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Itakumbukwa Lundega ndiye aliyesimamia kwa mafanikio makubwa mashindano ya Urembo Tanzania na kuyapa umaarufu mashindano hayo.
Pumzika kwa amani Hashim Lundenga.