pmbet

Hata tukibeba Uefa Sibadilishi msimamo, Nitaondoka - Mbappe

Sisti Herman

April 17, 2024
Share :

Mara baada ya kufunga mabao mawili kati ya manne ya ushindi wa 4-1 dhidi ya Barcelona, nyota wa PSG na timu ya Taifa Ufaransa Kylian Mbappe ameweka wazi kuwa ushindi huo hauwezikubadilisha msimamo wake wa kuondoka PSG mwishoni mwa msimu huu.

"Hapana sitabadili maamuzi, najivunia kuvaa jezi ya PSG na nina ndoto ya kushinda ligi ya mabingwa nadhani tutajaribu msimu huu Wembley" alisema Mbappe baada ya mchezo huo.

Licha ya klabu wala mchezaji kuthibitisha, lakini duru mbalimbali za habari zinasema anaelekea Real Madrid msimu ujao.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet