pmbet

Hati ya kuandaa AFCON 2027 Yasainiwa

Sisti Herman

May 11, 2026
Share :

 

Nchi waandaji wa michuano ya AFCON 2027, zimesaini hati ya makubaliano ya pamoja inayojulikana kama CAF Joint Resolution – TotalEnergies AFCON PAMOJA 2027.

Nchi hizo ambazo ni Tanzania Kenya na Uganda zimesaini hati hiyo kwa lengo la kuimarisha uratibu na ushirikiano katika maandalizi ya mashindano hayo makubwa ya bara la Afrika.

Makubaliano hayo yameshuhudiwa na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) Dkt. Patrice Motssepe

Tanzania imewakilishwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda na viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) wakiongozwa na Rais Wallace Karia.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet