Hatimae Wema Sepetu na Whozu warejesha penzi
Eric Buyanza
March 28, 2024
Share :
Baada ya kupitia misukosuko ya kimapenzi ambayo wapenzi wengi hupitia, hali iliyosababisha penzi lao kutikisika kama sio kuvunjika.
Habari zikufike tu kuwa wawili hao mwanamuziki Whozu na mwanadada Wema Sepetu 'Tanzania Sweethert' wamerudiana tena rasmi.
Fuatilia video hapo chini