pmbet

Hatimaye Joshua Zirkzee asaini Man United kwa pauni milioni 36.54

Eric Buyanza

July 15, 2024
Share :

Manchester United imemsajili mshambuliaji wa Bologna na Uholanzi Joshua Zirkzee kwa mkataba wa thamani ya pauni milioni 36.54.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23 ametia saini mkataba wa miaka mitano Old Trafford.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet